Watanzania waliopo Afrika Kusini wanafanya shughuli gani hasa?

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nini shida huko bondeni idadi kubwa ya misiba ya vijana wa kitanzania. Nipo kwenye group hili la mabaharia naona vifo ni vingi sana watu wanaripoti mara kwa mara sasa vijana wadogo sana.

Screenshot_20230514-093054.png
 
Kuna yule mwamba aliemmwagia tindikali sjui dogo gan wa kiwalani nlionaga kwenye hilo grouo jamaa wakawa wanamtafuta hv walimpataga...? Na jamaa wote ni watz afu wamefanyiana umafia hv waliishia wapi mana nlijitoaga humo
 
Mambo ya jandoni yaache huko huko, kitendo cha baharia kwenda SA elewa ni mpambanaji, ame take risks za kimaisha na sio Lia Lia au lalama lalama kama wa humu ndani, na hujaombwa hata 1cent ya mchango, relax mkuu, u beach boy wa Durban hadi mother city ni wa ngoma ngumu, usisikie
 
Mkumbuke kuwekeza kwenu
 
Mabaharia toka Bongo - Mkumbuke Yanga inakuja huko keshokutwa, Na kiingilio cha uwanjani ni bure, Basi mkumbuke kwenda kuwashangilia ili walau muwe mumeisaidia nchi yenu kupata ushindi.

Msitafute tu mkwanja bila kuisapoti nchi yenu. Mkiweza kufanya ulozi, au kuwasha moto uwanjani, fanyeni kwa maslahi mapana ya nchi.
 
Mambo ya jandoni yaache huko huko, kitendo cha baharia kwenda SA elewa ni mpambanaji, ame take risks za kimaisha na sio Lia Lia au lalama lalama kama wa humu ndani, na hujaombwa hata 1cent ya mchango, relax mkuu, u beach boy wa Durban hadi mother city ni wa ngoma ngumu, usisikie
Hazijui itikadi za "Mpumalanga Gang"
 
Wapo wengi wengi walikimbilia huko baada ya kuharibu Tanzania.
 
Hazijui itikadi za "Mpumalanga Gang"
Yaani hawa royal families 👪 wameshajiona Tanzania belongs to them, ila wapo wapo wachache huwa wanaingia kwenye 18 za ma beach boys na wanapewa displine kubwa,baba/mama/dada/kaka/zao ndio wanasababisha beach boy's kuimbia nchi na bila ya passport, wao wanaletewa kwenye comfort zones zao, Leo anakurupuka kujua mambo ya jandoni!,pumbavu sana
 
Mambo ya jandoni yaache huko huko, kitendo cha baharia kwenda SA elewa ni mpambanaji, ame take risks za kimaisha na sio Lia Lia au lalama lalama kama wa humu ndani, na hujaombwa hata 1cent ya mchango, relax mkuu, u beach boy wa Durban hadi mother city ni wa ngoma ngumu, usisikie
Maneno meeeeeengi
 
Vijana wengi wahuni na wenye tabia za hovyo hukimbilia South Africa. Hakuna wanachokifanya zaidi ya ushenzi mtupu.
 
Back
Top Bottom