Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Hebu itajje hiyo nchi ya Ulaya haraka sana ifuatiliwe.
 
Huu Utumwa mamboleo upigwe vita na kila mmoja wetu bila kujali Dini wala rangi.
 
Ulijuwaje?
Nishawahi kumsaidia dada mmoja
Kurudi bongo
Huko wanakutana na visa vingi
Kunyanyaswa,kutaka kupigwa mtungo
Nk na wengine wanapigwa mtungo

NINACHO KUAMBIA KINA UKWELI ASILIMIA 100,SIKU ZOTE NKISEMA KITU HUMU NAKUWAGA NA UHAKIKA NACHO

ova
 
Wacha waende tu, wanayataka wenyewe.

Mtu akae kona bar anauza mw I li siku zote, umwambie ipo kazi Saudi Arabia ya nyumbani lakini matatizo yake ni hivi na hivi na hivi, unafikiri atakuelewa?
Faiza dada yangu kipenzi kona bar ndiyo wapi [emoji1]
Hebu nipe ramani

Ova
 
Niliwahi kuwaandikiaga Barua Bakwata ya ku Africanize Islam Religion ili itufiti sisi Africans.

SIkujibiwa naona wanaona HONGO ya tende ni muhimu sana Allah atunusuru na ulafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…