Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.

Sijamaliza kuisoma mada yako, maana umetaja uarabuni na ulaya ila sijaona nchi ya kizungu hata moja hapo, ukitoa Malaysia yenye asilimia 63.5 ya waislamu, zilizobakia zote ni nchi za kiislamu.

Hivyo sina haja ya kuendelea kuisoma mada yako, ilhali umeongea bila ushahidi wa housegirl yeyote yaliyomkuta katika nchi ulizozitaja.
 
Hongera Halima Mdee kwa kuushinda udikteta wa Mbowe.

Hatanyanyuka tena kufukuzafukuza watu hovyo akidhani chama ni mali yake.
Mkuu uzi alopost jamaa haujakuhuzunisha kwa lolote duh! Hv ndo paap umepewa uongozi utahudumia wananchi wako kweli au utahudumia chama na tumbo lako tu
 
Uarabuni ni hatari sana wana kupaulina Gekul chap
 
Hongera Halima Mdee kwa kuushinda udikteta wa Mbowe.

Hatanyanyuka tena kufukuzafukuza watu hovyo akidhani chama ni mali yake.
Kulwa Jilala umechanganyikiwa baada ya kula michembe huko Simiyu.

Mtahangaika sana wapambe wa yule mwendawazimu wa Chato !

Tunaishukuru Covid -19 kwa kutufyekea mbali yule kichaa.
 
Labda useme uarabuni lakini sio ulaya. Unazielewa sheria za ulaya wewe?. Hata ikipita miaka 20 au hata sasa ikaja kujulikana kuna mtu anawatumikisha watu kinyume na taratibu,hukumu yake sio ya nchi hii
 
Kwa sasa kuna mkataba Rasmi wa Dubei na Tanzania katika swala.la.kupeleka mayaya na kulinda haki zao.
 
99% ya hizi tungo huwa hazina ukweli.
 
Inategemea ni kazi gani, unafanya, kama za ndsni, au zile za, ngumbalu, lazima uteseke, hata hapa bongo, fika kiwanda cha urafiki Dar, uone unyama unaofanywa na wachina,kazi zozote za ngumbalu, huwa ni za mateso,arabism has nothing to do with it, juzi tu, tulisikia waziri alivyomtesa kijana wake wa kazi kule Manyara,
Huko uarabuni, nina jamaa zangu kibao wanafanya kazi, za kiuhandisi za IT, na wanapiga mpunga mrefu, tena ni wakristo, na maisha yanaenda poa,
Msichafue nchi, za watu, kwa makosa ya watu wachache,
Hapa bongo, kuna watu wanateswa zaidi ya hayo yanayotokea huko uarabuni
 

We upo nchi gani kati ya ulizotaja? Yako unayo au umewapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…