Watanzania Waliridhia Rasimu ya Pili ya Katiba?

Watanzania Waliridhia Rasimu ya Pili ya Katiba?

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Uzi tayari binafsi sikuridhia kuna maeneo bado yanaukakasi asa madaraka na teuzi za Rais.

Maoni yangu yalipinduliwa na tume.

Rais asiwateue Makatibu Wakuu.

Rais asimteue mwanasheria mkuu wa Serkali.

74...jpeg
View attachment 1086877
 
Ni hoja nzuri , ila nadhani sio muda wake kwan hakuna ratiba ya kuwa na katiba mpya kwa sasa.
Kama huko kwenu hiyo ratiba IPO continue......
 
Back
Top Bottom