ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,651 Reaction score 2,790 May 3, 2019 #1 Uzi tayari binafsi sikuridhia kuna maeneo bado yanaukakasi asa madaraka na teuzi za Rais. Maoni yangu yalipinduliwa na tume. Rais asiwateue Makatibu Wakuu. Rais asimteue mwanasheria mkuu wa Serkali. View attachment 1086877
Uzi tayari binafsi sikuridhia kuna maeneo bado yanaukakasi asa madaraka na teuzi za Rais. Maoni yangu yalipinduliwa na tume. Rais asiwateue Makatibu Wakuu. Rais asimteue mwanasheria mkuu wa Serkali. View attachment 1086877
Malumbo wa ngullo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,246 Reaction score 11,011 May 3, 2019 #2 ...Hao wa Tanzania walioridhia ni akina nani?.
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,203 Reaction score 1,007 May 3, 2019 #3 Ni hoja nzuri , ila nadhani sio muda wake kwan hakuna ratiba ya kuwa na katiba mpya kwa sasa. Kama huko kwenu hiyo ratiba IPO continue......
Ni hoja nzuri , ila nadhani sio muda wake kwan hakuna ratiba ya kuwa na katiba mpya kwa sasa. Kama huko kwenu hiyo ratiba IPO continue......
Gavana JF-Expert Member Joined Jul 19, 2008 Posts 33,637 Reaction score 8,947 May 18, 2019 #4 Nktlogistics said: ...Hao wa Tanzania walioridhia ni akina nani?. Click to expand... Wachawi wa Lumumba
Nktlogistics said: ...Hao wa Tanzania walioridhia ni akina nani?. Click to expand... Wachawi wa Lumumba