KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa 2025 watanzania wameamua kwa kauli moja kuja na kaulimbiu ya kishujaa ya "TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA", ni kauli inayochangiwa na imani kubwa waliyonayo kwa CCM, uthubutu wa uongozi wa Ndg.Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT na utayari wa CCM kuwatumikia watu wote bila kujali itikadi za vyama vyao, kabila wala dini zao.
Baada ya kudodosa maana ya kauli ya TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA nimefafanuliwa kwa ufupi tu kwamba Maendeleo ya kweli yanayohitajika Tanzania yanatoka CCM na CCM ndio Chama pekee kinachofanya Tanzania iwe hivi ilivyo leo.
Nami nakubaliana nao kwa kaulimbiu ya TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA