Nimependa ulivyomalizia bandiko lako.Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Naombeni muimbe nyimbo ya CCMUchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Haijawahi kuzimwa huko sababu hiyo technology ya kufanya hivyo hamna, Nigeria wenyewe hawana mtakua ninyi?Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Ukweli mtupu mkuu, bila vpn ata kuona thread yko issueUchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Kila mtu aseme jina ya VPN anayotumia.
Halafu serikali ya Tanzania inafaa kutumia teknolojia inayoitwa mobile phone jammers ili kuzuia Wabongo kutumia internet kabisa, yaani hata VPN haitafanya kazi. Ndio mjue kuwa nchi bila upinzani sio jambo nzuri.

🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼 ZimbabweUchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Mitano tenahivi waliotuzimia hawayaoni haya..? Mpk tunachambwa na majirani..[emoji23]
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole
Japo sikubaliani na hili la kufungia mitandao ya kijamii bila sababu za msingi, lakini huwezi linganisha na Kenya ambako hawafungii mitandao ya kijamii lakini wanawapiga risasi wananchi wanaojaribu kutumia Uhuru wao kupinga matokeo ya uchaguzi.Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Tanzania ndio nchi ya Kwanza kufunga internet kwnye ichaguzi ???Halafu yalivyo mang'ombe mwiba wenyewe yamejidunga kwenye korodani!
Akikujibu hii unitag.Hakuna hata mtu mmoja aliepoteza maisha?!Siyo rahisi kudanganya kwenye dunia hii ya utandawazi!
View attachment 1619563At least 11 shot dead ahead of Tanzania's presidential vote
ZANZIBAR, Tanzania (AP) — Police in Tanzania shot dead at least nine citizens amid unrest over alleged fraud ahead of the presidential election, a major opposition party asserted Tuesday, while officials denied it and one of Africa's most populous countries watched internet service slow to a crawl aapnews.com