Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Watu wana Imani na Rais wetu Mpendwa.Hujasalimiwa Kinyiha huko ?
Sio mda utaenda kushuhudia matendo makuu ya Bwana , tunza hii we kilazaNdugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa letu,wamekataa kuigeuza Tanzania kuwa Gaza, Wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa fujo,wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa majivu,wamekataa watanzania kuchinjana wenyewe kwa wenyewe,wamekataa kuharibu historia nzuri ya Taifa letu.
Watanzania wamekataa kuchochewa na wenye nia ovu kulipasua na kulisambaratisha Taifa letu, wamekataa kuwaliza na kuwabubujicha machozi ya huzuni wazee wetu waliolala na kupumzika katika nyumba zao za milele waliolipigania Taifa letu kwa jasho na Damu ili sisi tuwe huru.
Watanzania wameamua kusimama na Taifa letu, watanzania wameamua kusimama kwa ajili ya kulitetea ,kulilinda na kulipigania Taifa letu kwa ajili ya kesho ya watoto na wajukuu zetu. Watanzania wameamua kupigania bendera ya Taifa letu. Watanzania wametambua hakuna Kwa kwenda zaidi ya Hapa Tanzania.
Watanzania wamejua maadui wanataka kutudanganya ili baadaye waje watucheke na kutudharau tutakapokuwa tumasambaratisha Taifa letu. Watanzania wametambua ya ni Tanzania pekee tuwezapo kutimiza ndoto zetu kwa kila mmoja wetu tukiwa katika amani na utulivu.
Kwa hakika watanzania wote sisi ni washindi na sote tumeshinda na Taifa letu linabakia kuwa salama. Tuna kila sababu ya kujivunia ushindi huu wa kishindo. Tuna kila sababu ya kushikana mikono na kusema sisi sote ni washinda na tusonge mbele kama washindi na kulinda Amani na utulivu wa Taifa letu kwa ustawi wetu sote watanzania.
Watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa,Dini zetu ,makabila yetu ,kanda zetu na jinsia zetu tuna kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Tuna kila sababu ya kumpatia ushirikiano wa kutosha kwa maendeleo ya Taifa letu. Na kwa hakika nawahakikishieni ya Kuwa Rais wetu na Mama yetu Mpendwa hatatuangusha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
KATI ya hasara tuliyonayo nayo kama taifa ni kuwa vijana wenye akili kama za kwakoNdugu zangu Watanzania,

Mpumbavu hata umpige na nyundo kichwani hataacha upumbavu wakeWatu wana Imani na Rais wetu Mpendwa.
Wenye nia mbaya na ovu mmeshindwa na mtaendelea kushindwa kila uchao.KATI ya hasara tuliyonayo nayo kama taifa ni kuwa vijana wenye akili kama za kwako
Wapumbavu ni mzigo mzito sana Kwa taifa letu
Nimekusamehe bure kabisa. Kama vile Mungu wangu aishivyo na alivyo mwingi wa huruma ,Rehema na Upendo. Nami pia naendelea kukusamehe,kukupenda kama mwanadamu na mtanzania mwenzangu. na kumuomba Mungu akusamehe na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani kwa watu wote.Huna akili, kilaza!
Ungekuja unifikie wewe.Gen Z walitakiwa wakufikie.
Subiri watakutaja mawakala wenzio waliokuona ukitiki kura za uongo. Hapa tulipo tunajipanga kuandaa maandamano makubwa ya kulaani utawala wa damu. Maandamamano hayo yataongozwa na viongozi wa dini. Yatafuatiwa na kufungua kesi mahakama ya kimataifa. Uchu wa madaraka hauwezi kuuwa watanzania wengi kiasi hiki.Watu wana Imani na Rais wetu Mpendwa.
Uko wapi mbwa wewe?Ungekuja unifikie wewe.
Nakupongeza kwa hilo.Huna akili, kilaza!
Watanzania siyo mahayawani wala mambumbumbu wala makasuku. Hawapo tayari kushiriki ujinga wenu wa kutaka kuharibu Taifa letu.Subiri watakutaja mawakala wenzio waliokuona ukitiki kura za uongo. Hapa tulipo tunajipanga kuandaa maandamano makubwa ya kulaani utawala wa damu. Maandamamano hayo yataongozwa na viongozi wa dini. Yatafuatiwa na kufungua kesi mahakama ya kimataifa. Uchu wa madaraka hauwezi kuuwa watanzania wengi kiasi hiki.
Mbona yako haijamwagika?Hizo damu zilizomwagika naamini hazitaenda bure, wakati zinalia kutaka kisasi basi kisasi hicho kipite na wewe!