Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

why na sisi hatutengenezi ya kwetu kama chanzo cha hii ni Tanzania ?why umpangie mtu jinsi ya kutumia fedha zake?always tumekuwa watu wa kulalamikia tulipoangukia sio kujikwaa,unanikumbusha yaliyokuwa yanatokea pale SA kulalamika eti why actors wanaocheza movie za maisha ya Mandela na Nomzamo sio wazawa!!!,walijibiwa kama wanataka watengeneze movie zao,wakafwata mkia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuuh
 
  • Ilani ya chama haijatekelezwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆπŸΌπŸšΆπŸΌπŸšΆπŸΌ
 
Ukiangalia hii Movie pale kilima ambacho simba anabebwa juu na yule Nyani ni sehemu ya Serengeti ipo Njiani kama unatokea fort Ikoma.ila sisi tumelala acha tu wapige hela
 

Attachments

  • download.jpg
    5.9 KB · Views: 39
  • images.jpg
    6.3 KB · Views: 42
Hii ni sawa na huko Nchini Brazil at Aldeia das Aguas Park resort kuna water slide imepewa jina la Kilimanjaro toka 2017... na wanapiga pesa hatari...

Alafu ndiyo the tallest water slide in the world... so sioni ajabu mambo yetu mazuri wengine wakayatengenezea fursa...




Kilimanjaro 2017: World Tallest Water Slide Brazil after USA Waterslide Closes Down 2017


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…