Nyie ni vibaraka wa OmanManina zenu! Eti yule kibaraka wa ulaya mzalendo wa taifa hili.
. Msigwa hajua kuwa michezo ni kiashiria cha furaha? Tangu lini mtu ambaye binadamu wenzake wametekwa, wameuawa, wengine hata miili yao haijaonekana, akaenda kufurahia?
Huo ni udini wako tu. Nchi hii kunawawekezaji kibao tu enzi na enzi........wachina, wakorea, wazungu na hao waarabu. Shida ni chuki tu za kidini mlizonazo. Ni hilo tu.Nyie ni vibaraka wa Oman
INauma sana lakin siku zajaWatanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao.
1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha kutengenezewa kesi bandia ya uhaini.
2. Binadamu wenzao, Ali Kibao, Soka, Mdude na wengine kwa makumi wametekwa, wameuawa, na wengine wamepotezwa, na watawala wasiopenda kukosolewa hata wakifanya uovu wa kupindukia.
3. Watanganyika wakatoliki kiongozi wao, katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, Father Dr. Kitima amevamia kwa lengo la kumwua, kwa sababu tu ya kupinga uporwaji wa rasilimali za nchi na kisha kupewa waarabu.
4. Watanganyika, rasilimali zao, bandari, mbuga za wanyama, hifadhi za misitu na viwanja vyao vya ndege, vimeporwa na kisha kukabidhiwa kwa waarabu.
5. Watanzania wanachezewa akili zao na kudharauliwa kwa kutengenezewa Tume bandia ya Uchaguzi, wamenyimwa haki zao za kueapata viongozi wanaowataka, huku chama kikuu cha upinzani kikizuiwa kushiriki uchaguzi.
6. Watanzania hawana mahakama tena, waovu wameziteka na kuzifanya zitumike kuwatesa Watanganyika wasiowataka.
HALAFU, mtu mmoja anaitwa Msigwa, anashangaa kwa nini Watanzania hawaendi kushuhudia mechi za CHAN. Ina maana:
1. Msigwa hajui kuwa Mpira ni burudani? Tangu lini mtu mwenye huzuni kuu akaenda kwenye burudani?
2. Msigwa hajui kuwa mpira ni starehe? Tangu lini mtu anayedhulumiwa haki zake akaenda kusherehekea?
3. Msigwa hajua kuwa michezo ni kiashiria cha furaha? Tangu lini mtu ambaye binadamu wenzake wametekwa, wameuawa, wengine hata miili yao haijaonekana, akaenda kufurahia?
Hima Watanzania wote wenye upendo, tuungane na Wakatoliki kufanya maombolezoya kuiombea haki nchi yetu ambayo mashetani yameiteka na kisha kuwadhulumu binadamu wenzao haki zao kwa namna mbalimbali.
Mungu mkuu, tunaomba mkono wako wenye nguvu na mamlaka utuokoe na hawa waovu, kwa maana wadhulumu wetu wamedhamiria kutuangamiza. Kama ulivyotenda kwa Farao, tunaomba utende na sasa. Tunaomba hayo yote kwa jina la mwanao Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu.
Ha
INauma sana lakin siku zaja
Tunapoongelea mambo ya rasilimali za nchi halafu wewe unaleta hadithi za udini, unadhihirisha ulivyo mtupu kichwani na rohoni!!Huo ni udini wako tu. Nchi hii kunawawekezaji kibao tu enzi na enzi........wachina, wakorea, wazungu na hao waarabu. Shida ni chuki tu za kidini mlizonazo. Ni hilo tu.
Manina zenu! Eti yule kibaraka wa ulaya mzalendo wa taifa hili.
Ahsante, hebu sema na kidogo kuhusu wazungu wanaokuja mikono mitupu isipokuwa project write ups Kisha wanakabidhiwa migodi, mbuga na baadae kuondoka wakiwa Matajiri wa kutupwa. Umewahi kuwagusa ktk maandiko Yako?!!! Wale wakurya walioachiwa mashimo tu na mazebaki yakiwa yameingia kwenye vyanzo vyao vya maji hatimaye kuwababua ngozi uliwaona?!!! Hawa wachina walioachiwa enzi na enzi wskiondoka na maliasili umewahi kuandika na kumwita mtawala kibaraka wa wachina?!!! Unafikiri wazungu hawajakabidhiwa mapori?!!! Pole km hujui hilo, hao ndo kitambo tu.Tunapoongelea mambo ya rasilimali za nchi halafu wewe unaleta hadithi za udini, unadhihirisha ulivyo mtupu kichwani na rohoni!!
Swali dogo:
Jiulize kidogo:
Unampa mwarabu mbuga ya wanyama, halafu unamwita ni mwekezaji! Hivi kwenye mbuga ya wanyama, huyo mwarabu anawekeza nini? Ataleta fisi au ngiri toka Uarabuni?
Unapompa hifadhi ya misitu asilia mwarabu, halafu unamwita mwekezaji, anawekeza nini kwenye hifadhi ya misitu asilia? Ataleta mitundu toka Oman, aiweke kwenye hiyo hifadhi ya misitu?
Viwanja vya ndege tujenge wenyewe, halafu unamleta mwarabu eti awe mwendeshaji, na huyo unamwita ni mwekezaji? Hivi kujenga na kuendesha, kipi ni kigumu?
Yaani nchi hii ina watu maharamia kupindukia. Wanawaleta waporaji wa mali zetu, halafu wanaitwa eti ni wawekezaji!! Very stupid. Wametudharau sana wananchi.
Nani anawalazimisha? Wewe binafsi umelazimishwa na nani ukakubali?Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao.
1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha kutengenezewa kesi bandia ya uhaini.
2. Binadamu wenzao, Ali Kibao, Soka, Mdude na wengine kwa makumi wametekwa, wameuawa, na wengine wamepotezwa, na watawala wasiopenda kukosolewa hata wakifanya uovu wa kupindukia.
3. Watanganyika wakatoliki kiongozi wao, katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, Father Dr. Kitima amevamia kwa lengo la kumwua, kwa sababu tu ya kupinga uporwaji wa rasilimali za nchi na kisha kupewa waarabu.
4. Watanganyika, rasilimali zao, bandari, mbuga za wanyama, hifadhi za misitu na viwanja vyao vya ndege, vimeporwa na kisha kukabidhiwa kwa waarabu.
5. Watanzania wanachezewa akili zao na kudharauliwa kwa kutengenezewa Tume bandia ya Uchaguzi, wamenyimwa haki zao za kueapata viongozi wanaowataka, huku chama kikuu cha upinzani kikizuiwa kushiriki uchaguzi.
6. Watanzania hawana mahakama tena, waovu wameziteka na kuzifanya zitumike kuwatesa Watanganyika wasiowataka.
HALAFU, mtu mmoja anaitwa Msigwa, anashangaa kwa nini Watanzania hawaendi kushuhudia mechi za CHAN. Ina maana:
1. Msigwa hajui kuwa Mpira ni burudani? Tangu lini mtu mwenye huzuni kuu akaenda kwenye burudani?
2. Msigwa hajui kuwa mpira ni starehe? Tangu lini mtu anayedhulumiwa haki zake akaenda kusherehekea?
3. Msigwa hajua kuwa michezo ni kiashiria cha furaha? Tangu lini mtu ambaye binadamu wenzake wametekwa, wameuawa, wengine hata miili yao haijaonekana, akaenda kufurahia?
Hima Watanzania wote wenye upendo, tuungane na Wakatoliki kufanya maombolezoya kuiombea haki nchi yetu ambayo mashetani yameiteka na kisha kuwadhulumu binadamu wenzao haki zao kwa namna mbalimbali.
Mungu mkuu, tunaomba mkono wako wenye nguvu na mamlaka utuokoe na hawa waovu, kwa maana wadhulumu wetu wamedhamiria kutuangamiza. Kama ulivyotenda kwa Farao, tunaomba utende na sasa. Tunaomba hayo yote kwa jina la mwanao Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu.
Boss, umejaribu kupima uwezo wa uelewa wa uliyemjibu? Mimi nafikiri, ashakum si matusi, uelewa wake uko chini sana, hatakuelewaTunapoongelea mambo ya rasilimali za nchi halafu wewe unaleta hadithi za udini, unadhihirisha ulivyo mtupu kichwani na rohoni!!
Swali dogo:
Jiulize kidogo:
Unampa mwarabu mbuga ya wanyama, halafu unamwita ni mwekezaji! Hivi kwenye mbuga ya wanyama, huyo mwarabu anawekeza nini? Ataleta fisi au ngiri toka Uarabuni?
Unapompa hifadhi ya misitu asilia mwarabu, halafu unamwita mwekezaji, anawekeza nini kwenye hifadhi ya misitu asilia? Ataleta mitundu toka Oman, aiweke kwenye hiyo hifadhi ya misitu?
Viwanja vya ndege tujenge wenyewe, halafu unamleta mwarabu eti awe mwendeshaji, na huyo unamwita ni mwekezaji? Hivi kujenga na kuendesha, kipi ni kigumu?
Yaani nchi hii ina watu maharamia kupindukia. Wanawaleta waporaji wa mali zetu, halafu wanaitwa eti ni wawekezaji!! Very stupid. Wametudharau sana wananchi.
Andiko murua kabisa, ingependeza kukuzwa maandishi na kuwekwa palipo wazi lisomwe na watu wote. Hitimisho lako hata hivyo, halikuwa na ulazima maana ni kama linawatenga wa imani tofauti na sisi tusiokuwa wa upande wowote kiimaniWatanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao.
1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha kutengenezewa kesi bandia ya uhaini.
2. Binadamu wenzao, Ali Kibao, Soka, Mdude na wengine kwa makumi wametekwa, wameuawa, na wengine wamepotezwa, na watawala wasiopenda kukosolewa hata wakifanya uovu wa kupindukia.
3. Watanganyika wakatoliki kiongozi wao, katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, Father Dr. Kitima amevamia kwa lengo la kumwua, kwa sababu tu ya kupinga uporwaji wa rasilimali za nchi na kisha kupewa waarabu.
4. Watanganyika, rasilimali zao, bandari, mbuga za wanyama, hifadhi za misitu na viwanja vyao vya ndege, vimeporwa na kisha kukabidhiwa kwa waarabu.
5. Watanzania wanachezewa akili zao na kudharauliwa kwa kutengenezewa Tume bandia ya Uchaguzi, wamenyimwa haki zao za kueapata viongozi wanaowataka, huku chama kikuu cha upinzani kikizuiwa kushiriki uchaguzi.
6. Watanzania hawana mahakama tena, waovu wameziteka na kuzifanya zitumike kuwatesa Watanganyika wasiowataka.
HALAFU, mtu mmoja anaitwa Msigwa, anashangaa kwa nini Watanzania hawaendi kushuhudia mechi za CHAN. Ina maana:
1. Msigwa hajui kuwa Mpira ni burudani? Tangu lini mtu mwenye huzuni kuu akaenda kwenye burudani?
2. Msigwa hajui kuwa mpira ni starehe? Tangu lini mtu anayedhulumiwa haki zake akaenda kusherehekea?
3. Msigwa hajua kuwa michezo ni kiashiria cha furaha? Tangu lini mtu ambaye binadamu wenzake wametekwa, wameuawa, wengine hata miili yao haijaonekana, akaenda kufurahia?
Hima Watanzania wote wenye upendo, tuungane na Wakatoliki kufanya maombolezoya kuiombea haki nchi yetu ambayo mashetani yameiteka na kisha kuwadhulumu binadamu wenzao haki zao kwa namna mbalimbali.
Mungu mkuu, tunaomba mkono wako wenye nguvu na mamlaka utuokoe na hawa waovu, kwa maana wadhulumu wetu wamedhamiria kutuangamiza. Kama ulivyotenda kwa Farao, tunaomba utende na sasa. Tunaomba hayo yote kwa jina la mwanao Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu.
Ulimi na vidole vyako vitakuhangamiza.Manina zenu! Eti yule kibaraka wa ulaya mzalendo wa taifa hili.
Kila Ubaya UtalipwaManina zenu! Eti yule kibaraka wa ulaya mzalendo wa taifa hili.
Huwezi kumwita mtetezi wa wanyonge na rasilimali za taifa kibaka wakati ulimjua juzi tu hapa baada ya kuja mjini. Wakati anatetea watu wa BUZWAGI na NYAMONGO ulikuwa unaliwa na funza kijijini huko usijue hata baba na mama yako wanakula nn mbwa mweusi .Manina zenu! Eti yule kibaraka wa ulaya mzalendo wa taifa hili.