Watanzania wanahitaji zaidi Akili kuliko Oxygen

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana.

Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na wanapitisha mambo ya kipumbavuh. Hawajali.

Mitanzania itazungumzia Simba na Yanga siku nzima. Week nzima na mwezi mzima. Maendeleo hakuna. Huu ni wendawazimu.

Watanzania watahitaji sana kupata akili kuliko Oxygen. Hii si ya Muhimu sana kwa watanzania. Mnaweza ifunga Oxygen isipatikane ili ipatikane akili.
 
Yanga ni Dude kubwa ndiyo maana ikifungwa inakuwa habari ya Mjini, Yanga inaumiza wengi ndiyo maana wengi wanafurahia Yanga kufungwa, umeongea ukweli tujikite pia kwenye mambo mengine tusijikite tu kwenye Mpira.
 
Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana.

Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na wanapitisha mambo ya kipumbavuh. Hawajali.

Mitanzania itazungumzia Simba na Yanga siku nzima. Week nzima na mwezi mzima. Maendeleo hakuna. Huu ni wendawazimu.

Watanzania watahitaji sana kupata akili kuliko Oxygen. Hii si ya Muhimu sana kwa watanzania. Mnaweza ifunga Oxygen isipatikane ili ipatikane akili.
Simba na yanga ni janga kwa taifa hili, watu wamepumbazwa akili, cha ajabu nao wanarithisha watoto wao huo ujinga angali wadogo.......
 
Uko sahihi kabsa katika vitu ambavyo selikali imefanikiwa ni kuinject hii propaganda ya simba na yanga bahati mbaya sana sa hivi jinsia zote, hadi watoto wadogo wa shule ya msingi nao ni simba na yanga tuu,radio stations zote ni mpira asubuhi hadi jioni! Inasikitisha lakini ni ukweli mchungu selikali inanufaika sana na hii probaganda
 
Watoto wangu nimewapiga marufuku kushabikia na kuangalia matches za Tanzania. Wanaangalia DSTV tu hii Azamu nliifungia kabatini. Kuepuka wasije nao wakawa wapumbavu kama watanzania wengi walivyo. Hawana akili wao ni Simba na Yanga mwaka mzima.na serikali imefahamu hayo matatizo.
 
Kisa umepokea kichapo Cha mbwa Koko Jana Sasa akili Yako naona imehamia matakoni
 
Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana.

Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na wanapitisha mambo ya kipumbavuh. Hawajali.

Mitanzania itazungumzia Simba na Yanga siku nzima. Week nzima na mwezi mzima. Maendeleo hakuna. Huu ni wendawazimu.

Watanzania watahitaji sana kupata akili kuliko Oxygen. Hii si ya Muhimu sana kwa watanzania. Mnaweza ifunga Oxygen isipatikane ili ipatikane akili.
Nakubaliana nawe kwamba kwa Watanzania wengi kipaumbele kimeelekezwa isivyopaswa. Mfano ni klabu za mpira, hususani Yanga na Simba. Pamoja na kwamba kuwa shabiki wa klabu fulani si mbaya, ushabiki ukipita kiasi unaharibu. Kuna watu waliothubutu ku-bet wake zao kwamba ''ukinifunga'' mke wangu halali yako. Mwingine alitaka kujiua kwa kujitupa kutoka mti mrefu kwa sababu tu timu yake imefungwa. Hii ni mifano ya ushabiki wa kupitiliza kiasi.
Mbali na mpira kuna watu wanashinda vijiweni wakibishana nani tajiri zaidi: Abood au Mhindi gani sijui? Utajiri wa Wahindi hawa unakusaidiaje wewe katika kujikomboa kwako kutokana na umaskini wako? Badala ya kupoteza muda katika mazungumzo hayo yasiyo na tija, ungeweza kuwa unawajibika kupata cho chote cha kuwawekea watoto wako mezani wale. Vivyo hivyo katika vyama vya siasa: kwa sababu tu wewe ni mwanachama wa Chama fulani, kila kisemwacho au kifanywacho na chama chako unaunga mkono hata kama unaona kitu hicho si sahihi.
Ili tuendelee, Watanzania inatubidi tujikomboe kiakili kwanza.
 
Uko sahihi kabsa katika vitu ambavyo selikali imefanikiwa ni kuinject hii propaganda ya simba na yanga bahati mbaya sana sa hivi jinsia zote, hadi watoto wadogo wa shule ya msingi nao ni simba na yanga tuu,radio stations zote ni mpira asubuhi hadi jioni! Inasikitisha lakini ni ukweli mchungu selikali inanufaika sana na hii probaganda
Watoto wangu nimewapiga marufuku kushabikia na kuangalia matches za Tanzania. Wanaangalia DSTV tu hii Azamu nliifungia kabatini. Kuepuka wasije nao wakawa wapumbavu kama watanzania wengi walivyo. Hawana akili wao ni Simba na Yanga mwaka mzima.na serikali imefaham hilo inatumia upuuzi huu kubaki madarakani.
 
Mkuu, bila oxygen Ubongo haupo na bila ubongo akili haipo endapo tutazingatia ushauri wako na kuutekeleza kwamba wanahitaji akili zaidi kuliko oxygen, sijui matokeo yatakuwaje Mkuu?
 
wewe mwenyew akili hauna uliona wapi ukawa na akili bila oxygen. Uliona wap mtu akaishi bila oxygen.
 
Bro ni system, ni mifumo hiyo. Ishasukwa kitambo sana.

Ili kuifumua inahitaji kujitoa haswa, ila hata wewe unachokipigania ukiambiwa uende hata media moja ujieleze utaingia mitini kwa kuogopa kutekwa na kuuawa.

Vyama pinzani wengi wana maslahi binafsi na sio kuwatetea wananchi, wananchi tayari washapumbazwa kama hivyo.

Mabadiriko yatakuja ila sio leo.
 
Back
Top Bottom