Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Simba na yanga ni janga kwa taifa hili, watu wamepumbazwa akili, cha ajabu nao wanarithisha watoto wao huo ujinga angali wadogo.......Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana.
Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na wanapitisha mambo ya kipumbavuh. Hawajali.
Mitanzania itazungumzia Simba na Yanga siku nzima. Week nzima na mwezi mzima. Maendeleo hakuna. Huu ni wendawazimu.
Watanzania watahitaji sana kupata akili kuliko Oxygen. Hii si ya Muhimu sana kwa watanzania. Mnaweza ifunga Oxygen isipatikane ili ipatikane akili.
Watoto wangu nimewapiga marufuku kushabikia na kuangalia matches za Tanzania. Wanaangalia DSTV tu hii Azamu nliifungia kabatini. Kuepuka wasije nao wakawa wapumbavu kama watanzania wengi walivyo. Hawana akili wao ni Simba na Yanga mwaka mzima.na serikali imefahamu hayo matatizo.Uko sahihi kabsa katika vitu ambavyo selikali imefanikiwa ni kuinject hii propaganda ya simba na yanga bahati mbaya sana sa hivi jinsia zote, hadi watoto wadogo wa shule ya msingi nao ni simba na yanga tuu,radio stations zote ni mpira asubuhi hadi jioni! Inasikitisha lakini ni ukweli mchungu selikali inanufaika sana na hii probaganda
Nakubaliana nawe kwamba kwa Watanzania wengi kipaumbele kimeelekezwa isivyopaswa. Mfano ni klabu za mpira, hususani Yanga na Simba. Pamoja na kwamba kuwa shabiki wa klabu fulani si mbaya, ushabiki ukipita kiasi unaharibu. Kuna watu waliothubutu ku-bet wake zao kwamba ''ukinifunga'' mke wangu halali yako. Mwingine alitaka kujiua kwa kujitupa kutoka mti mrefu kwa sababu tu timu yake imefungwa. Hii ni mifano ya ushabiki wa kupitiliza kiasi.Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana.
Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na wanapitisha mambo ya kipumbavuh. Hawajali.
Mitanzania itazungumzia Simba na Yanga siku nzima. Week nzima na mwezi mzima. Maendeleo hakuna. Huu ni wendawazimu.
Watanzania watahitaji sana kupata akili kuliko Oxygen. Hii si ya Muhimu sana kwa watanzania. Mnaweza ifunga Oxygen isipatikane ili ipatikane akili.
Watoto wangu nimewapiga marufuku kushabikia na kuangalia matches za Tanzania. Wanaangalia DSTV tu hii Azamu nliifungia kabatini. Kuepuka wasije nao wakawa wapumbavu kama watanzania wengi walivyo. Hawana akili wao ni Simba na Yanga mwaka mzima.na serikali imefaham hilo inatumia upuuzi huu kubaki madarakani.Uko sahihi kabsa katika vitu ambavyo selikali imefanikiwa ni kuinject hii propaganda ya simba na yanga bahati mbaya sana sa hivi jinsia zote, hadi watoto wadogo wa shule ya msingi nao ni simba na yanga tuu,radio stations zote ni mpira asubuhi hadi jioni! Inasikitisha lakini ni ukweli mchungu selikali inanufaika sana na hii probaganda