A
Anonymous
Guest
- Kusitishwa kwa utekelezaji wa sera mpya kwa kidato cha tano, je athari zake ni zipi ilihali tayari tulishawapeleka watoto mashuleni?
- Je watanzania hasa wazazi na wanafunzi wanajua vigezo vya kujiunga vyuo vikuu na vya kati ni sawa? Nini athari zake kwa vyuo vikuu na kwa vyuo vya kati, nini athari zake kwa mwanafunzi atakaekosa uelewa wa kufanya chaguzi sahihi??
- Wizara ya elimu haikujua athari hizi au ni mpaka yatokee??