the feeeling is mutual.
the boss, vipi tena? Mbona 'ngumi' mkononi? Huyo jamaa naona alikurupuka!
wanamuziki wa kibongo wanani bore sana...wakifika marekani wanakuwa wabishi kuelewa alafu wanakuwa na attitude kwa sababu wako big time tanzania.no wonder wanakosaga gig wakija second time then wanaanza kupiga simu na kuomba msaada wa kupewa gigi....... Apart from ali kiba na mwanafalsafa...these two guys mayn mean business....big ups to kiba and mwanaf....
Hivi Tanzania tuna wanamziki? [Sic]
Mikaka na mibaba inayopende vitoto vidogo....kazi kuhonga na kuwamalizia madogo vyao!
the feeeling is mutual.
yaa alikurupuka...
Nilianzisha thread ya my favourite tanzanians
so nikaona kama kuna watanzania tunaowakubali
kwa matendo yao,basi lazima watakuwepo wanaotuboa.
So naona jamaa hakuelewa....
wanamuziki wabongo tatizo exposure ndogo.
Exposure ya mazingira yapi? nje ya bongo au ndani?? ukijibu hili unaweza kusaidia pia kujua hao wanaokuboa ni walio ndani au nje?
Mnyalu May be social and mentality differences....