Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo unalipia, mnasema nini nyie?
Itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo, hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo, ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo.
Itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo, hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo, ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo.