Kasimuliwa na binamu yake kuhusu Ulaya anatuletea upuuzi wake JF. Awaulize hao walioziweka mbona wameanza kuzitoa? Mijitu iliyozoea kulamba miguu ya watawala haina tofauti na watumwa.Umetumwa na nani?
Limbukeni ni wewe ambaye unashangilia kila tamko la ccm kama vile zuzu.Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo unalipia, mnasema nini nyie?
Itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo, hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo, ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo.
Nakuunga mkonoUnachokikubali wewe sio lazima wote wakikubali alafu huo ni ulimbukeni kujiona wewe unajua kuliko wengine.
Akili zako zina mapungufu ya virutubishoMkienda Ulaya mnakuwa wakimbizi,unapewa chumba,unalipwa,watoto wako wanasomeshwa mnafikiri ile hela wanachapisha ?
Hayo yatawezekana ikiwa na sisi tutakuwa mstali wa mbele kulipia tozo ,kesho na kesho kutwa utasikia watanzania wasio na kazi watalipwa laki moja kwa mwezi,
Hivi mnafikiri siku wapinzani wakibahatika kuongoza nchi hii,maana inabidi itokee bahati,kwa kura msahau, sasa mnafikiri watafuta tozo ? Hao Wakuu wenu waliokimbilia huko majuu wanajua nini tozo na ndilo lililofanya wapewe makazi ya bure na kulipwa.
Iko siku mtafahamu na kuelewa faida ya tozo ,mtaona mmechelewa sana kuanzishiwa mikakati hio.
Na vijakazi wa masheitwani wenzakeUmetumwa na nani?
Wanatufanya watu hatuna akili za kujua kama tunapigwaOk, huku tozo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa at the same time unapokea mkopo toka WB kwa ajili ya kazi hiyo hiyo, sijui nani ni limbukeni kwa mtindo huo.
Hapo ndo umejenga hoja??Mkienda Ulaya mnakuwa wakimbizi,unapewa chumba,unalipwa,watoto wako wanasomeshwa mnafikiri ile hela wanachapisha ?
Hayo yatawezekana ikiwa na sisi tutakuwa mstali wa mbele kulipia tozo ,kesho na kesho kutwa utasikia watanzania wasio na kazi watalipwa laki moja kwa mwezi,
Hivi mnafikiri siku wapinzani wakibahatika kuongoza nchi hii,maana inabidi itokee bahati,kwa kura msahau, sasa mnafikiri watafuta tozo ? Hao Wakuu wenu waliokimbilia huko majuu wanajua nini tozo na ndilo lililofanya wapewe makazi ya bure na kulipwa.
Iko siku mtafahamu na kuelewa faida ya tozo ,mtaona mmechelewa sana kuanzishiwa mikakati hio.
Siyo ulimbukeni bali kiwango chake bado nikikubwa sana siyo rafiki kikishuka serkali itakusanya pesa zaidi,Tanzania tuna Sera ambazo siyo shiriki,Sera ambazo siyo shirikishi huwa hazifanikiwi( uncertainty policies)Watz wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo,na wanahisi wameonewa,hawastahili wao kutoa tozo ,wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo,wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia,choo unaenda haja kubwa na ndogo unalipia ,mnasema nini nyie ?
itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo,hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo,ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo.
Hapo mm ndo nachoka hizo tozo zinaenda wapiOk, huku tozo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa at the same time unapokea mkopo toka WB kwa ajili ya kazi hiyo hiyo, sijui nani ni limbukeni kwa mtindo huo.
Unagongwa wewe!!Watz wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo,na wanahisi wameonewa,hawastahili wao kutoa tozo ,wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo,wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia,choo unaenda haja kubwa na ndogo unalipia ,mnasema nini nyie ?
itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo,hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo,ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo.
Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo unalipia, mnasema nini nyie?
Itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo, hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo, ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo
Unasema hata nchi zingine zina tozo, lakini hutoi mifano ya hizo nchi. Halo hoja inakuwa ya kipurure na mfu.Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo unalipia, mnasema nini nyie?
Itokee tu raisi aliyepo aziondowe lakini hakuna kisicholipiwa tozo, hizi Tv mnatazama majumbani nazo zinalipiwa tozo, ulizeni sio mnakaa kwenye vijiwe na kupakana uongo.