Tumeshuhudia kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wabunge na madiwani wengi kutoka chadema wakijivua ubunge au udiwani. CHADEMA haijawahi kuwaambia wananchi sababu ya msingi iliyopelekea hayo.
Hii imeondoa imani ya wapiga kura kwao hasa hasa baada ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CHADEMA kugubikwa na utata na usanii mtupu.
Wapiga kura watawekeza kwa wabunge na madiwani walio serious kutoka Chama cha mapinduzi.