Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya
- Upinzani dhaifu
- Kutekwa watu hovyo
- Rushwa kila kona
- Kupotea kwa watu
- Mauaji bila sababu
- Viongozi walarushwa
- Viongozi wazembe
- Viongozi mafisadi
- Jamii ya kichawa
- Huduma za kijamii mbovu