Watanzania wanataka uwe Champion wa Maisha yao Magumu na siyo uwe Champion wa Sensa iliyoisha

Watanzania wanataka uwe Champion wa Maisha yao Magumu na siyo uwe Champion wa Sensa iliyoisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katika 61,741,120 wenye Maisha Magumu (Msoto Daily) ni 60,000,000 (kwa mujibu wangu Binafsi kama GENTAMYCINE ) sasa hii Nguvu ya Kujisifu kuwa Wewe ni Champion wa Sensa inatoka wapi?

Halafu labda leo nikushauri kuwa na Wewe sasa anza Kushtuka na Kuwashtukia wanaokusifia kwani wengi Wanakusanifu mno na hata tukiwa nao Chobingo (Maskani za Majungu) huwa wanakusema vibaya na baadhi yao Wewe ndiyo unawapa Ulaji huko uliko Kikatiba.

Na huenda wameshaujua udhaifu wako hivyo nao wana dance according to your rythm huku Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wakikusanifu kweli kweli na hata Kukudharau.

Pambania Kwanza Maisha Magumu ya Watanzania na achana na hizi Sifa za Kukuchoresha unazopewa kuwa Wewe ni Champion wa Sensa.

Champion wa Akili GENTAMYCINE nimemaliza. Halafu kuna Mtu Jana nimemsikia akikusifia kuliko aliyekupa hiyo Deiwaka ya Kikatiba kuwa Yule aliyelala Mazima Ziwani alitekeleza ndani ya miaka Mitano ila Wewe ndani tu ya mwaka Mmoja.

Tafadhali ukiwa nae baadae Kichama au hata kwa Mwaliko au Kesho akikusindikiza pale JNIA Terminal III Kukuaga ukienda kupata Chanjo ya Kudumu kwa Waleta Corona Waandamizi mwambie GENTAMYCINE namwomba abadilishe aina ya Bange / Bangi anayoivuta sasa kwani naaona inaanza kama vile kumfanya anakuwa Hamnazo (Chizi) fulani hivi.

Safari Njema hiyo Kesho I love You...!
 
kila nikisoma tweets za waziri wake wa mawasiliano akiwa anawajibu wananchi huwa nabaki kumdharau hata aliyemteua,fikiria sasa huyo ni moja ya watu wanaomshauri na kumsaidia.

hii nchi 17/3/2021 tulipigwa mazima.
 
Back
Top Bottom