hapa hatuongelei kukwepa makosa tunaongelea namna ambavyo tumejiwekea utaratibu kisheria kushughulikia kila aina jambo.kama umefanya makosa ndiyo maana tunasema sheria ifuate mkondo wake.Mheshimiwa amekuwa akitoa changamoto zinazopelekea watu kutafuta uchochoro wa kuchomokea.Lakini kwa vyovyote vile tatizo la Ushoga lipo na ni janga la taifa utafiti wa kina ufanyike ili kuokoa kizazi kijacho ambacho kipo kwenye hatari kubwa ya kulegezwa nguvu kazi ya Taifa.
Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi
Utachukuliwa kwa ruhusa ya mahakama ila sio kisa uko chini ya ulinzi uchukuliwe tu vipimoKama una kesi ya mauwaji lazima utachukuliwa mate ukiwa chini ya ulinzi ili kulinganisha dna
Hata ukikataa lazima utachukuliwa for investigation huwezi kukwepa
Ukiwa na kesi ya kichwa lazima utachukuliwa sample tu ili unyooshwe au uokoke
Huna lolote!Tanzania.......watakukuta wewe sio mimi....
Huna lolote!!unajisumbua tu kwangu...endelea na kazi zako unapoteza muda wako bure tu kwangu
Kwi mashoga hawawezi kufanya kaziMheshimiwa amekuwa akitoa changamoto zinazopelekea watu kutafuta uchochoro wa kuchomokea.Lakini kwa vyovyote vile tatizo la Ushoga lipo na ni janga la taifa utafiti wa kina ufanyike ili kuokoa kizazi kijacho ambacho kipo kwenye hatari kubwa ya kulegezwa nguvu kazi ya Taifa.
mmhUnajua sheria wakati mwingine ni ujinga fulani hivi kuna taratibu kabisa zimewekwa wazi na sheria husika ..sasa kwanini iwe imekula kwako kama utakubali na utaratibu husika haukufuatwa ?
Anayepaswa kujua au kuuliza kama utaratibu umefuatwa ni nani ?
Ninakuambia hiviiii......Huna lolote, debe tupu!!maneno ya kike.....hayo
Jamani mimi nadhani mtoa mada nia yake ni njema kabisa. Ni hivi ili mtu aweze kuchukuliwa specimen kisheria kuna utaratibu kama hicho kipengele kinavyoeleza na taratibu hizo zinapaswa kufuatwa. Sasa zisipofuatwa advantage itakuwa kwa mtuhumiwa, wakati ushahidi huo utakapotolewa mahakamani mtuhumiwa anaweza kuupinga kwa hoja kwamba procedure za kisheria hazijafuatwa na akafanikiwa kuupiga chini.View attachment 920552
Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi, Ukikataa inabidi jeshi la polisi liende kuomba ruhusa ya mahakama!! Mahakama ndo inapaswa kutoa amri ya hayo mambo kufanyika!!! Lakini ukikubali imekula kwako!!!