Watanzania wangapi wanapata ulemavu kwa ukosefu wa Matibabu?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Afya ni Mtaji wa kila mtu, watu wakiwa na afya njema wataingiza kipato serikali itapata mapato na Nchi itaendelea. VIDEO niliyoweka hapo chini ni ya Msanii anaitwa Paschaūl ni mtu Mkubwa anajulikana lakini alipopata Ajali alihitaji Msaada wa Matibabu kila sehemu.

Your browser is not able to display this video.

Sasa nimejiuliza sana hivi kuna Watanzania wangapi huko Mtaani wanakufa huku wanajiona? Watanzania wangapi wanapata ulemavu kwa ukosefu wa Matibabu? Hivyo serikali kuna Haja ya kulichukulia serious suala la Afya kwa Wote, kama tuliweza kusanya TOZO sh. Billioni 48 ndani ya week nne tunashindwaje Kuzitumia kwenye hili suala la Matibabu na kila Mtanzania akaona mchango wake anaokatwa unavyotumika?

Karibuni wana JamiiForum kama kuna Mchango wowote kwenye hili suala la Afya.
 
Mkuu we acha tu,umasikini kitu kibaya sana
 
Na title imechange sana imepunguza sana uzito wa suala Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…