Watanzania wangapi wanaweza kusubiri kuielewa katiba

Watanzania wangapi wanaweza kusubiri kuielewa katiba

onjwayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
1,356
Reaction score
1,309
Siyo rahisi Watanzania kusubiri kuelemishwa kuhusu katiba. Wengi wetu tunajijua.....yaani tuache Ajira ya kubeti kweli. Kama ni kusubiri Kila mmoja kuelewa katiba basi ccm watatawala milele.

Basi kama hili la katiba haliwezekani vipi kuandaa tume Bora ya uchaguzi. Viongozi wetu wa dini Wana uelewa mpana juu ya maandiko lakini Kuna baadhi wanatafuna sadaka na kondoo zao.

Hapa upatikanaji wa katiba mpya willing iwepo na kama IPO mchakato wake uanze mara moja. Kama rais na wale waliotoka wamenufaika kwa ubovu wake kwanini dhamira isiwepo kuuboresha? Mungu SAIDIA nchi hii
 
Mara mchungaji na kondoo mara kubeti. Hebu soma hii post.
 
Back
Top Bottom