Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ingetrex Tanzania, ni Maonyesho ya Kimaifa ya Biashara, ambayo yatafanyika kwa siku 3 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, kuanzia Tarehe 15 hadi 17 ya mwezi huu wa May.
Katika maonyesho hayo, makampuni mbalimbali kimataifa, yataonyesha bidhaa zake, ila pia waandalizi wa Maonyesho hayo, wametenga mabanda 10 mahsusi kwa makampuni na wajasiliamali wa Kitanzania wenye bidhaa za viwango vya kimataifa.
Mabanda hayo 10 kwa ajili ya wajasiliamali wazalendo, yametolewa bure, hivyo hii ni fursa adimu kwa Watanzania kuchangamkia fursa on the basis of first come, first saved!.
Kama unahusika na biashara yoyote ya bidhaa au ya huduma, au unamjua mtu mwenye biashara yoyote ya bidhaa, au ya huduma yenye viwango vya kimataifa, mjulishe kuhusu fursa hii.
Kwa maelezo zaidi, tembelea hapa [h=3]INGETREX TANZANIA | Dar es Salaam / Tanzania.[/h]
Natanguliza shukrani.
Pascal.