Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Hakuna nchi ambayo haina changamoto ,hizo ni changamoto zinazoweza kutatulika kadiri nchi inavyopata mabadiliko ya uongoziUjanja wa kijinga matundu ya choo tu mpk msaada utoke marekani!, elimu bado kubebeshana masomo kibao ujanja gani na treni la umeme tu limekuwa kama likasongo!.
viongozi wanatumia pesa kwenye mambo ya hovyo halafu dawa hospitali unakuta hakuna, maji hakuna.. hamna cha ujanja usitujaze ujinga
Sio kweli bro , we are so smart , nenda China huko utaona wabongo walivyo take over"ujanja"sijajua unamaanisha nini
Ila kama umemaanisha kuziangalia fursa nje ya tz basi hatupo hata top 20
1.Nigeria
2.Somalia
3.Kongo
4.Kenya
5.Senegalese
6.Ghqna
7.Morrocan
8.Ethiopian
9.Angola
10.Egyptians
Tuelimishe jamii yetu maana hata mfano wa SA uliotoa Wala haufai sababu wabongo kule wanasifika kwa wizi na madawa Wala sio professional au biasharaSio kweli bro , we are so smart , nenda China huko utaona wabongo walivyo take over
Hiyo list iko wapi, au umepanga mwenyewe kichwani?Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ.
Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi, entertainment na maeneo mengine mengi nikitaja hapa page hii haitotosha.
Ukitaka utambue ujanja wa wabongo shuka SA uone wanavyosumbua.
🤣🤣🤣 hii Tz ya kina wasira kulamba teuzi wakat wanakaribia kufa au Tz ipi unasema hyo?Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ.
Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi, entertainment na maeneo mengine mengi nikitaja hapa page hii haitotosha.
Ukitaka utambue ujanja wa wabongo shuka SA uone wanavyosumbua.
Ndio ni kweli nimepanga kichwani kutokana na ushaidi ulioshiba wa kimazingiraHiyo list iko wapi, au umepanga mwenyewe kichwani?
Pole sana, tz haijafikia wala haiko karibu na SA au nigeria, kuna nchi hapo katikati zimechangamka kuliko hata tzNdio ni kweli nimepanga kichwani kutokana na ushaidi ulioshiba wa kimazingira
Cameroon"ujanja"sijajua unamaanisha nini
Ila kama umemaanisha kuziangalia fursa nje ya tz basi hatupo hata top 20
1.Nigeria
2.Somalia
3.Kongo
4.Kenya
5.Senegalese
6.Ghqna
7.Morrocan
8.Ethiopian
9.Angola
10.Egyptians
Wafe, Akati kila siku Wana lalamika kuchapiwa😃😂Source: Trust me guys 😂
Labla ujanja wa mapenzi
Sikupingi hasa kwa hao Cameroon nimeishi nao jamaa Kila jioni(usiku ni mpira)Cameroon
Cape Verde
Liberia
Guinea
Mali
Make it to top 15, from my own experience sioni namna ya kuziacha hizo nchi nilizoongeza.
Kwa hustler yoyote aliye ughaibuni nadhani ananielewa.
Ukichapiwa maana ake umezidiwa huo ujanja wnywWade, Akati kila siku Wana lalamika kuchapiwa😃😂
Nadhani mnaichukulia poa sana TZ , na kwakuwa haya maneno nimezungumza mzawa but trust me we are doing very well in many aspectsPole sana, tz haijafikia wala haiko karibu na SA au nigeria, kuna nchi hapo katikati zimechangamka kuliko hata tz