So far maeneo mengi CHADEMA wanaongoza kama Iringa town,Arusha town,rombo,hai,karatu etc unaweza kuongezea Sasa ebu tungoje akina Kiravu watasemaje? Updates zingine ntazipata kesho kichwa kimechoka
huku zanzibar kama kawaida wananchi wameamua lakini tume wameyapindua kwa mtaji huu sijui chama cha mafisadi wanatupeleka wapi siwaelewi au kama kawaida yao wanasubiri damu imwagike
naomba michangi yenu
MATOKEO KABLA YA KUCHAKACHULIWA DR SLAA ALIKUWA ANAONGOZA KWA MBALI,SIJUI BAADA YA KUCHAKACHUA MAANA Thithim HAWAJALALA NI BUSY WAKICHAKACHUA,MABADILIKO mpango mzima:evil: