Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao.
Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya taifa.
Watanzania waliopo CCM hawana tofauti na waliopo Chadema,ACT,CUF,TLP.......
Kipi pekee nacho tambua ni kuwa waafrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara hatuja pishana sana akili ndio maana haishangazi sisi kuwa masikini sana hapa duniani kwa kila kitu kinaanza wapi ? Kichwani
Na vichwa vyetu ni debe tu hata siku CCM ikitoka madarakani hakutakuwa na maajabu yoyote yale ya kulipeleka taifa mbele zaidi ya siasa za kipuuzi na za kijinga kijinga kuendelea kutawala.
Wananchi wa Tanzania na viongozi hakuna tofauti Mtanzania atasema kiongozi mara mwizi,fisadi,mzembe kila aina ya maneno ya lawama lakini hizi sifa zimejaa kwa Watanzania wengi.
Ukitaka kujua kuwa sisi watu wa kusini mwa jangwa la Sahara ni wahovyo tazama Afrika na muendelezo wake baada ya ANC kupewa nchi na makaburu nini kipya wamefanya zaidi kucheza Amapiano na kuongeza UKIMWI kwa ngono za hovyo hovyo
Haya Kenya wamefanya mabadiliko,Zambia,Malawi hii ni mifano midogo je, hawa wana muelekeo hata wakuwa bora hata kama Singapore na Qatar kwa miaka hata 30 ijayo ?
Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni HAPANA
Siwapendi CCM ila najua tatizo lililopo ni zaidi ya CCM wenda nikilisema nitatafsirika kama mbaguzi.
Lakini tatizo ni zaidi ya CCM na ndio maana hata ukienda Kenya au Zambia au Malawi au Burundi au Rwanda au Afrika Kusini tuna banana kwa mengi.