Watanzania wasiovuka futi 6 chezeni basket kujifurahisha, Nimekutana na vijana wenye 5'6 - 5'8 wanapeana matumaini kucheza NBA nimesikitika

Kuna mikoa iwe marufuku kabisa kucheza huu mchezo, kama Iringa na Njombe
 
Walienda yale mashindano ya Africa ...tulipiga pigwa acha tu.
 
Ndio maana mimi nacheza karata na draft tu🤣🤣🤣
 
Hata soka na kukimbia ni majanga, labda tuongeze nguvu kwenye yale mashindano ya big brother washiriki wetu walikua wanarudi na ushindi. Sijui kama bado yapo mpaka leo yale mashindano
 
Walienda yale mashindano ya Africa ...tulipiga pigwa acha tu.
Tulipigwa kama Ngoma 😂😂🙌huwa nikiwaangalia kina Noela na Tukusubila nasema safari bado ila pale Jk park kidogo vijana wenye kimo wameanza kujitokeza
 
Hata soka na kukimbia ni majanga, labda tuongeze nguvu kwenye yale mashindano ya big brother washiriki wetu walikua wanarudi na ushindi. Sijui kama bado yapo mpaka leo yale mashindano
big brother hadi kiingereza kiwe kinapanda, mbaya zaidi wanaoshinda zinaishia kwenye kuhonga na starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…