Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Bado kutangaza na kutoa location people will come dear. Nilikwenda kununua furniture kwa location tu.Biashara ya Salon vipi, utawanyoa na kuwasuka watu online?
Pengine unakitu ila ujafikisha vizuri.Bado kutangaza na kutoa location people will come dear. Nilikwenda kununua furniture kwa location tu
Upo sahihi mpenzi lkn message inafika, tunapata hasara sanaPengine unakitu ila ujafikisha vizuri.
SawasawaSijajua shida nini, sijui huwa wana mwapu wa kufanya biashara.
Ila wenye fremu kwetu ni raha tu, akishindwa huyu anakuja yule, na kama fremu zipo sehemu nzuri unapiga pesa vizuri tu.
Ni biashara ambayo unaweza funga msuli na ukacheza bao, mwisho wa mwezi unaokota tu.
Physical store ni muhimu Wakati wote.Bado kutangaza na kutoa location people will come dear. Nilikwenda kununua furniture kwa location tu.
Instagram picha zilinivutia
Mawazo yako ni mazuri ila tunarudi palepale tusipangiane matumizi na hela yanguJamaniee kukodi flemu ufungue duka unapoteza hela zako. Somo hili kichwa cha habari hii kinahusika.
Hii tabia imekithiri sana hapa nchini. Utakuta mjasilia Mali analipa pesaro nyiiiingi kulipia chumba ch duka akitarajia kupata pesaro nyingi ni kosa kubwa sana.
Njia zifuatazo zinaweza tumika badala ya kumfadisha landlord's.
1. Tangaza biashara yako pelekea wateja wewe mwenyewe[huu mfumo door to door upo lkn kidogo sana
2. Tumia social media kuuza bidhaa.
Uwa unafanya marketing?Upo sahihi mpenzi lkn message inafika, tunapata hasara sana
Mfumo huu wateja hawakuamini wanataka uwaonyeshe ofisi yako ilipo, shida ndio inaanzia hapo ukiwa machinga au mchuuzi watu wanakosa uaminifu na wewe especially ikiwa unafanyia online, wanataka waone ofisi yako ilipo duka lako lipo wapi? Ofisi yako ipo wapi? Je! Wewe ni tapeli huna ofisi?1. Tangaza biashara yako pelekea wateja wewe mwenyewe[huu mfumo door to door upo lkn kidogo sana
2. Tumia social media kuuza bidhaa.
Uwekezaji mzuri Sana huoSijajua shida nini, sijui huwa wana mwapu wa kufanya biashara.
Ila wenye fremu kwetu ni raha tu, akishindwa huyu anakuja yule, na kama fremu zipo sehemu nzuri unapiga pesa vizuri tu.
Ni biashara ambayo unaweza funga msuli na ukacheza bao, mwisho wa mwezi unaokota tu.
Hiyo location uliyokwenda kupatia bidhaa ndio fremu yenyewe.Bado kutangaza na kutoa location people will come dear. Nilikwenda kununua furniture kwa location tu.
Instagram picha zilinivutia
Kuna mtaa fulani niliambiwa watu wanalipia laki nne kodi ya nyumba bado kodi nyingine nikawaona wajinga sana afu wameweka vipodozi tena reja reja aiseee.Upo sahihi mpenzi lkn message inafika, tunapata hasara sana