Watanzania wasomi na wasio wasomi lakini ni wajasiriamali acheni kukodi fremu ili kufungua biashara

Ndo umetoka chuo,ingia mtaani uanze maisha Kisha uje usimulie humu,kibongo biashara sio rahisi kihivyo,Kwa taarifa Yako mo pamoja na utajili wote ule bado amepanga fremu
 
Ndo umetoka chuo,ingia mtaani uanze maisha Kisha uje usimulie humu,kibongo biashara sio rahisi kihivyo,Kwa taarifa Yako mo pamoja na utajili wote ule bado amepanga fremu
Achana nae huyo kaandika akiwa ananyonya mboo
 
Unakuta analipa frem ya laki 6 hadi milioni Moja.

Hizi pesa angeamua kuziingiza kwenye online marketing angepata wateja wengi sana. Na kwa gharama pungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…