Watanzania wataka lugha ya Kiswahili kutumika mitaala ya vyuoni

Watanzania wataka lugha ya Kiswahili kutumika mitaala ya vyuoni

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
131
Hili nalo kutokuelewa mipaka ya lugha au ugumu Wa kushika lugha za kigeni?
 
Watu wanataka kutumia kiswahili katika mitaala vyuoni halafu litakapokuja suala la kusaini mikataba kwa kiingereza wanaishia kukubali kila kitu na kusaini mambo bila kuelewa mikataba inasema nini. Matokeo yake tunaishia kupigwa changa la jicho bila kujua. Siku hizi hata Warusi, Wachina na Wafaransa wamekubali bila kiingereza dunia hii haiwezekani na nyie mnaleta za 47 hapa za uzalendo wa kiswahili. Hebu nendeni kukojoa mlale, mjiandae kwa uji asubuhi.
 
tumieni tu kiswahili hadi popote mtakapotaka lakini sio kwa watoto wangu mimi. hao english ndio lugha yao ya muhimu kuliko hata kiswahili.kiswahili hakiwasaidii watoto wetu.
 
Back
Top Bottom