Watu wanataka kutumia kiswahili katika mitaala vyuoni halafu litakapokuja suala la kusaini mikataba kwa kiingereza wanaishia kukubali kila kitu na kusaini mambo bila kuelewa mikataba inasema nini. Matokeo yake tunaishia kupigwa changa la jicho bila kujua. Siku hizi hata Warusi, Wachina na Wafaransa wamekubali bila kiingereza dunia hii haiwezekani na nyie mnaleta za 47 hapa za uzalendo wa kiswahili. Hebu nendeni kukojoa mlale, mjiandae kwa uji asubuhi.