Watanzania, watoto wenu mnawaanza kwa malezi yenye heshima, sijui baadaye huwa mnapinda vipi


Huwa wana tabia za ajabu ajabu, kuna msemo wa kimalkia unasemaga....PRETENDERS ARE THE WORST THAN MURDERERS!
Hulka hii ya watanzania huwa siipendi abadan kahtan. Heri wawe wawazi kwa lolote walitendalo hususan kwenye maswala inayowahusisha ndugu,jirani na wenziwao.Ndio maana huwa hawaelewani na wakenya.
Huwa nawapenda watu wawazi yaani"straight forward".
Ikiwa ni ndio iwe ndio,la iwe ni la,kuondoka iwe ni kuondoka n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…