Watanzania wavamia page za astonvilla na kuzitolea lugha chafu

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,796
Reaction score
2,367
Hii kwa mimi kama mtanzania mwenzao sijapendezwa na sio ustaarabu wa watu walio na hekima,ya nini kwenda kuvamia site za watu na habari na kuzitolea lugha ya matusi kiasi kile,ili hali tu kutaka mchezaji wetu mbwana samatta atambulishwe??

Hilo siyo jukumu letu ni kuacha wahusika wenyewe watakapo kamilisha hatua zao baasi kama wameridhiana wataweza mtambulisha mbwana samatta na siyo kwenda kuvamia page za astonvilla site ya twiter na instagram haswaa na kuanza kuzishushia matusi,hilo linaweza kufanya mambo yapinduke vilevile kwa maana kuna uwezekano hawa watu wakawa na shaka juu ya viwango vyetu vya soka duniani kuwa katika orodha mbovu na ni ajabu sana mtz wa kwanza kwa sisi mr samatta kushiriki epl tena kwa timu ambayo inalegalega vilevile katika msimamo wa ligi hiyo ya uingereza,

Tujifunze ustaarabu na hekima kwenye vyombo vya kupashana habari kama ilivyo kwny idara nyingine za habari,tunaweza kudhania kuwa tunajenga uthubutu kumbe tuna haribu na kwa hili naona kabisa ni jinsi gani tunajivua nguo kwa mataifa mengine jirani zetu kwa hili tunalolifanya kwa usajili wa wa kwanza huko ligi ya uingereza kwa mbwana samatta,na nadhani waliokwenda kufanya fujo huko miongoni mwao wapo humu...

USTAARABU NI HEKIMA ULIYONAYO WW NA NI UAMUZI WAKO NI KITU HURU SI MPKA KUSHURUTISHWA....!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekucha huko
IMG-20200119-WA0007.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wengi ingawa tangu wakiwa wadogo wanalelewa na hata kusoma katika mazingira ya kuwafanya wawe confident na hata Aggressive hata kwa wazazi wao bado wana NIDHAMU (DISCIPLINE) SANA.

Hawapendi Unafiki hata katika michango yao, na wanajitahidi sana kuondoa ule ubaguzi wa moja kwa moja unaoweza kumuumiza anayebaguliwa.

Wanamjudge Mtu kutokana na Uwezo wake aidha wa kuzungumza au uwanjani (in sportwise)

Watu weusi wengi hawana Adabu na Nidhamu.

Wengine wana Roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, bila (ushahidi wa) picha unakuwa hatuutendei haki.
 
Unaongea as if wote tulikuwa huko au tunajua yanayoendelea. Kunywa maji, relax, andika ukiwa umetulia.
 
Hii kwa mimi kama mtanzania mwenzao sijapendezwa na sio ustaarabu wa watu walio na hekima,ya nini kwenda kuvamia site za watu na habari na kuzitolea lugha ya matusi kiasi kile,ili hali tu kutaka mchezaji wetu mbwana samatta atambulishwe??

Hilo siyo jukumu letu ni kuacha wahusika wenyewe watakapo kamilisha hatua zao baasi kama wameridhiana wataweza mtambulisha mbwana samatta na siyo kwenda kuvamia page za astonvilla site ya twiter na instagram haswaa na kuanza kuzishushia matusi,hilo linaweza kufanya mambo yapinduke vilevile kwa maana kuna uwezekano hawa watu wakawa na shaka juu ya viwango vyetu vya soka duniani kuwa katika orodha mbovu na ni ajabu sana mtz wa kwanza kwa sisi mr samatta kushiriki epl tena kwa timu ambayo inalegalega vilevile katika msimamo wa ligi hiyo ya uingereza,

Tujifunze ustaarabu na hekima kwenye vyombo vya kupashana habari kama ilivyo kwny idara nyingine za habari,tunaweza kudhania kuwa tunajenga uthubutu kumbe tuna haribu na kwa hili naona kabisa ni jinsi gani tunajivua nguo kwa mataifa mengine jirani zetu kwa hili tunalolifanya kwa usajili wa wa kwanza huko ligi ya uingereza kwa mbwana samatta,na nadhani waliokwenda kufanya fujo huko miongoni mwao wapo humu...

USTAARABU NI HEKIMA ULIYONAYO WW NA NI UAMUZI WAKO NI KITU HURU SI MPKA KUSHURUTISHWA....!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

sasa watafikisha wapi malalamiko yao kila ukweli au mapungufu wanasema mmetumwa na mabeberu labda wakaona mabeberu wenyewe wawape ujumbe [emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom