Watanzania wengi bado wanakiamini Chama cha Mapinduzi - CCM

Watanzania wengi bado wanakiamini Chama cha Mapinduzi - CCM

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Watanzania wengi bado wanakiamini chama cha Mapinduzi CCM. Wanaamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kusimamia amani na utulivu wa nchi yetu. Hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo huo.

Nami naungana na watanzania wenzangu kukipa kura chama imara ccm, kesho tarehe 27/11/ 2024 mapema asubuhi naenda kumpigia kura mgonbea wa CCM ili tuweze kujihakikishia maendeleo kwenye mitaa yetu.

nakumbuka nikiwa darasa la kwanza wakati naanza kujifunza kuandika niliandika mlangoni mwa geto langu chagua "sisiemu".
 
Bashiru Ally CCM tutatumia dora kubaki madarakani
 
Back
Top Bottom