Watanzania wengi hawaelewi kuwa Chama Cha siasa na Wapiga Kura ni Vitu viwili tofauti kabisa Kila upande una Haki zake, nadhani Chadema Wamevurugwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chama Cha siasa huuza Sera zake na Ilani yake Kwa Wapiga Kura ambao wamejiandikisha kwa Mujibu wa Sheria

Chama Cha siasa kamwe hakiwezi kuwapangia Wapiga Kura nini cha Kufanya Ndio sababu Wapiga Kura hulindwa na Mapolisi Siku za uchaguzi Ili waweze kutimiza Wajibu wao wa kuchagua kwa HAKI, Amani na Usalama

Kinachounganisha Chama Cha siasa na Wapiga Kura ni mkataba wa " Mkituchagua tutawafanyia haya - Ilani na Sera"

Mpiga Kura halazimishwi kuwajibika na chochote Kutoka Kwa Wanasiasa na Vyama vyao

Ndio sababu Wote Waliosoma Somo la Siasa wanawashangaa Chadema wanaposema No Reforms No Election kwa sababu kwa sababu hilo ni jukumu la Mpiga Kura na Tume Huru ya uchaguzi

Chama Cha siasa kama hakina Sera na Ilani ya kuuza kwa Wapiga Kura basi kinakaa tu pembeni na kuachia wenye Mauzo wauze na siyo kuanzisha sintofahamu isiyotambulika Kikatiba na kisheria

Ahsanteni sana

Mlale Unono 😀
 
Hatulali saa 2 kama kuku. Nchi ishaamua biashara saa 24.

Gentleman,
sasa mbona unawavuruga na kuwachanganya zaidi chadema kwa kusema ukweli mtupu, kitu ambacho hua hawapendi kuelezwa wala kukiskia?🐒
 
Chama Cha siasa huuza Sera zake na Ilani yake Kwa Wapiga Kura ambao wamejiandikisha kwa Mujibu wa Sheria

Chama Cha siasa kamwe hakiwezi kuwapangia Wapiga Kura nini cha Kufanya Ndio sababu Wapiga Kura hulindwa na Mapolisi Siku za uchaguzi Ili waweze kutimiza Wajibu wao wa kuchagua kwa HAKI, Amani na Usalama

Kinachounganisha Chama Cha siasa na Wapiga Kura ni mkataba wa " Mkituchagua tutawafanyia haya - Ilani na Sera"

Mpiga Kura halazimishwi kuwajibika na chochote Kutoka Kwa Wanasiasa na Vyama vyao

Ndio sababu Wote Waliosoma Somo la Siasa wanawashangaa Chadema wanaposema No Reforms No Election kwa sababu kwa sababu hilo ni jukumu la Mpiga Kura na Tume Huru ya uchaguzi

Chama Cha siasa kama hakina Sera na Ilani ya kuuza kwa Wapiga Kura basi kinakaa tu pembeni na kuachia wenye Mauzo wauze na siyo kuanzisha sintofahamu isiyotambulika Kikatiba na kisheria

Ahsanteni sana

Mlale Unono 😀
Lisu anamini wenye nguvu ni wananchi si chama na wananchi wanaanza kueleweshwa kwamba kura zao zinanajisiwa kwa ulagai wa hali ya juu.Wananchi watakapofahamu hujuma wanaweza kugomea uchaguzi,msibeze hoja za upinzani.
 
Back
Top Bottom