johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chama Cha siasa huuza Sera zake na Ilani yake Kwa Wapiga Kura ambao wamejiandikisha kwa Mujibu wa Sheria
Chama Cha siasa kamwe hakiwezi kuwapangia Wapiga Kura nini cha Kufanya Ndio sababu Wapiga Kura hulindwa na Mapolisi Siku za uchaguzi Ili waweze kutimiza Wajibu wao wa kuchagua kwa HAKI, Amani na Usalama
Kinachounganisha Chama Cha siasa na Wapiga Kura ni mkataba wa " Mkituchagua tutawafanyia haya - Ilani na Sera"
Mpiga Kura halazimishwi kuwajibika na chochote Kutoka Kwa Wanasiasa na Vyama vyao
Ndio sababu Wote Waliosoma Somo la Siasa wanawashangaa Chadema wanaposema No Reforms No Election kwa sababu kwa sababu hilo ni jukumu la Mpiga Kura na Tume Huru ya uchaguzi
Chama Cha siasa kama hakina Sera na Ilani ya kuuza kwa Wapiga Kura basi kinakaa tu pembeni na kuachia wenye Mauzo wauze na siyo kuanzisha sintofahamu isiyotambulika Kikatiba na kisheria
Ahsanteni sana
Mlale Unono π