Watanzania wengi hawajengi kwao kwa kisingizio cha kutunza asili na hofu ya kurogwa, Wachaga pekee wameweza kukiruka hiki kiunzi

Watanzania wengi hawajengi kwao kwa kisingizio cha kutunza asili na hofu ya kurogwa, Wachaga pekee wameweza kukiruka hiki kiunzi

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Inashangaza sana

Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba

Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini Gamboshi kijumba

Profesa Mhaya ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Bukoba mjini lakini kijijini Biharamulo kijumba

Mwanasheria Mnyakyusa ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mbeya mjini lakini kijijini Mwakaleli kijumba

Kisingizo ni kwamba nyumba za kisasa zinaharibu mazingira ya nyumba za nyasi za asili, huwa nabaki na maswali mengi sana.

Wengine wanaogopa kujenga kwasababu ya uchawi, Kwamba nyumba zote ni za nyasi yeye akijenga ya kisasa anakuwa Target, Mscheke jamani haya mambo yapo
 
Huwezi kubomoa nyumba ya nyasi ujenge ya kisasa kisa tamaduni

1731586587009.png
 
Back
Top Bottom