round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Huu ni ulimbukeni wa kujipoteza mwenyewe japo nje utaonekana unakimbia ila ki uhalisia hakuna unapoenda 😔Watanzania wengi sana hupenda kuonekana bize bila kujali matokeo,
Kuna watu hawaendi popote, hawana kazi yoyote, lakini kila asubuhi wanawahi kuamka tu waonekane nao wana mambo mengi.
Mtu yuko na simu sikioni kaibana kwa bega huku mikono akiitumia kaundikia, anapiga kelele kama yuko kwenye deal kubwa, kumbe ni kuigiza tu shughuli.
Mwingine kila saa anasema yuko kwenye "mikutano", kumbe yuko nyumbani anaangalia series.
Wengine wanavaa ID ya kazi popote wanapoenda, si kwa sababu ya uhitaji, ila ili jamii ione wao ni watu wa majukumu.
Huu upotoshaji na utamaduni wa ajabu sijui uliletwa na nani japo sikuhizi unapungua hasa mijini.
factDon't just work hard, work smart.
Wengi tunakuwaga bize na vitu visivyo na faida bila kujua👿Watanzania wengi sana hupenda kuonekana bize bila kujali matokeo,
Kuna watu hawaendi popote, hawana kazi yoyote, lakini kila asubuhi wanawahi kuamka tu waonekane nao wana mambo mengi.
Mtu yuko na simu sikioni kaibana kwa bega huku mikono akiitumia kaundika daftari, anapiga kelele kama yuko kwenye deal kubwa, kumbe ni kuigiza tu shughuli.
Mwingine kila saa anasema yuko kwenye "mikutano", kumbe yuko nyumbani anaangalia series.
Wengine wanavaa ID ya kazi popote wanapoenda, si kwa sababu ya uhitaji, ila ili jamii ione wao ni watu wa majukumu.
Huu upotoshaji na utamaduni wa ajabu sijui uliletwa na nani japo sikuhizi unapungua hasa mijini.
Kweli kabisaDon't just work hard, work smart.