Watanzania ni watu watafutaji sana duniani, kila nchi wapo, ila kwa kutojua English vema tunatumia nguvu nyingi sana ili kufanikiwa katika mambo mbalimbali.
Mwaka juzi nilikuwa Latini Amerika nikakutana na Watanzania huko wakipambana. Japokuwa most of Latin Americans don't speak English, lakini wakasema wangelijua English vema ingekuwa rahisi kwao kujifunza lugha kama Spanish na Portuguese.
Kwa hiyo, Watanzania tujifunze English vema na mapema tusiwasikilize wanasiasa wa CCM wanaosema Kiswahili ni namba moja na ni uzalendo, ni uwongo mtupu; wengi wa wanasiasa watoto wao wanasoma UK, USA, South Africa Namibia, Canada -- sio elimu bure hizi za kayumba.
Mwisho nawapa pongezi sana Waganda na Wakenya kwa elimu yao kuwa English as a language of instructions, sio bongolala.