Watanzania wengi tu wanaumwa ugonjwa wa Mwakyembe - Madaktari

Mkuu wangu mbona unachanganya lugha wewe nambie hiyo common uloitumia kwa kiswahili utasema nini? au neno kawaida wewe unalichukulia vipi ktk magonjwa..Dr. kaongezea kusema:- "If you open a skin clinic in this city, for example, at least three people will seek treatment for scleroderma within two to three weeks," Sasa walishindwa vipi kutambua mwanzoni..
 
 
Hakuna hata cha kushangaza kuwa kenda kutibiwa India. Zitto Kabwe alienda kutibiwa kipanda uso na malaria India wakati Tanzania ni common na yanatibika
Sii kweli Zitto alikuwa na maradhi zaidi ya Malaria.. ama hukumsoma vizuri alipokuwa India akisubiri kufanyiwa operation ndogo....nasema uongo? Kushindwa kutibiwa ni tofauti na kushindwa kugundua ugonjwa ambao ni common. Pia kuna swala la hospital moja kushindwa na sio madaktari wetu bingwa kushindwa kugundua ugonjwa ambao tayari umeanza kuathiri ngozi na kumnyoyoa nywele..
 
Tusiwashambulia madaktari wetu bila kutafakari.
Prior to Mwakyembe kwenda India, alikuwa anatibiwa kwa takribani miezi mitatu akiwa nyumbani na presumably aliridhika na kwa nini? Huwezi kupata referral kwenda nje bila kupata opinion ya madaktari watatu. Diagnosis yao na za India zina lingana? Kama hazilingani , ni kwa nini? Uwezo?
 
Swala la uwezo lipo, vifaa lipo na kadhalika isipokuwa pale ugonjwa unaposhindikana kujulikana chanzo chake wakati tunaambiwa leo huo ni ugonjwa wa kawaida kabisa yaani wanakutana na wagonjwa kama Mwakyembe kila week...Mbona walishindwa kutuambia siku zile zile alougua akiwa hapa nyumbani hadi leo? Na kama ni wa kawaida hivi kwa nini ilikuwa siri? walikuwa wakificha nini muda wote maana wengine tulianza kufikiria pengine ana ngoma ndio maana wanaficha....Kwa nini walituficha ikiwa ugonjwa ni huu! why take that long!
 
Mkandara,

Watanzania wangapi wana kansa na wanatibiwa hospitalini bila kujulikana wana kansa? Utasema kansa sio ugonjwa common Tanzania?

Inategemea Mwakyembe alikuwa anatibiwa na watu gani. Magonjwa kama hayo ni rahisi ukipitia kwa watu ambao wanahusika na magonjwa ya namna hiyo. Kwa mfano akina prof. Mwakyusa hawakugundua kansa ya Nyerere mpaka alipoenda nje. Lakini Nyerere huyo huyo si ajabu angeenda hospitali ile ya Ocean road wangegundua hapo hapo nyumbani.

Watu kibao wanaenda India kutibiwa magonjwa ambayo ni common mno TZ na hayatambuliwi mpaka wakifika huko India. Tatizo letu ni hizi hospitali za chini na hawa general doctors ambao wanashindwa kutambua magonjwa mapema.
 
Binafsi nasubiri ripoti ya Nahodha ndipo nitakuwa na lakuchangia. Maana upepo umekuwa unageuka geuka.
 
..kuna zaidi ya aina moja ya Scleroderma.

..sasa Scleroderma inayomsumbua Dr.Mwakyembe ni ipi?
 
may be one could come up with clear explanation on what are the causes (causative agent, like malaria ni mbu jike)of such disease, its sign (early and when it is chronic), possible treatments and je unaambukizwa kwa njia zipi! so tht every one can get out of this puzzle! tusirushiane maneno tutafute ukweli tumjue nani hasa muhusika wa sakata hilo!
 
[/QUOTE]mtume pauli
JAMANI WANA JF SIOKILA ANAYEJIITA DR. AAMINIKE ANACHOKISEMA. HUYU ISAACK MARO NI KWELI ALISOMEA UDOKTA LAKINI HAKUWAHI KUJIHUSISHA NA KUTIBU WAGONJWA HATA MARA MOJA TOKA AMALIZE PALE HUHIMBILI MWAKA 2006.
SASA HIYO ANALYSIS KAIFANYA LINI NA WAPI. KWA UHAKIKA KABISA MIMI NAAMINI HAJAWAHI KUKUTANA NA MGONJWA MWENYE SCLERODERMA KAMA AMBAVYO MIMI SJAWAHI KUKUTANA NAO PAMOJA NA KUWEPO MUHIMBILI ZAIDI YA MIAKA KUMI SASA. NIMJUAVYO DR ISAACK NIMTANGAZAJI WA CLOUDS FM AKITANGAZA VIPINDI VYA JAHAZI NA AFYA CLUB OR SOMETHING. AACHE KUTOA TAKWIMU ZA UWONGO AS THE DISEASE IS EXTREMLY RARE ESPECIALY IN AFRICA.[/QUOTE]

Du! huyo Dr Maro kamaliza degree yaka jana tu mwaka 2006, bado ni mtoto katika gani hii na hana ubungwa wowote, na kwa experience ya miaka mitano he is still a general practitioner.
Kwa wale mambu mbu mbu wa field ya udaktari ni vyema wakatambua maoni ya mtu na kulinganisha na uzoefu wake.
Huyo kijana, Dr Maro akiwa ana umri wa zaidi ya miaka 35 nita shangaa, I the medical practice he is still a baby!
 
Kwa hiyo siyo sumu?

Kwa hiyo Manumba hakukosea?
 
Bila shaka hii ndo ile selamota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…