Watanzania wenye strong profiles kwenye mtandao wa LinkedIn

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari za Leo wakuu,

Linapokuja swala mitandao, watanzania hawapo nyuma kwenye kutumia mtandao wa professionals wa LinkedIn.

Naomba tujuzane watanzania wenye strong profiles kwenye mtandao wa LinkedIn.
 
Funguka lengo lako ukishajua halafu inakuwaje?

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Ungefunguka kidogo kuwa huo mtandao upoje unahusu nini na kuna faida gani ya kuwa huko ili ututoe matongo sisi tunaojua fb, twita na jf pekee
 
Ungefunguka kidogo kuwa huo mtandao upoje unahusu nini na kuna faida gani ya kuwa huko ili ututoe matongo sisi tunaojua fb, twita na jf pekee
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Mimi kule nina 500+ connections nataka niive profasionally alafu ni upgrade premium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…