Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!
Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake kumi na kuwa na kaempire kako leo hii wanatuambia tuoane wenyewe sisi wanaume pumbaaav!
Yaaani kutoka wanawake kumi hadi mmoja na mwishowe kuolewa wewe Sasa hizi dini c ni Bora tugeukie mizimu yetu?
Kama unaungana namimi weka comment na like! Say no to new religions brought from afar by our colonisers!