Nilitegemea ungekuja na sababu za msingi kusapoti uzi wako. Umechanganya kati ya dini na tabia za watu/ watu.Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!
Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake kumi na kuwa na kaempire kako leo hii wanatuambia tuoane wenyewe sisi wanaume pumbaaav!
Yaaani kutoka wanawake kumi hadi mmoja na mwishowe kuolewa wewe Sasa hizi dini c ni Bora tugeukie mizimu yetu?
Kama unaungana namimi weka comment na like! Say no to new religions brought from afar by our colonisers!
Mkuu nimecheka kwa nguvu sana, ila Roman Catholic na Waislam wamekwisha toa misimamo yao kuhusu ushoga na mambo yake.Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!
Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake kumi na kuwa na kaempire kako leo hii wanatuambia tuoane wenyewe sisi wanaume pumbaaav!
Yaaani kutoka wanawake kumi hadi mmoja na mwishowe kuolewa wewe Sasa hizi dini c ni Bora tugeukie mizimu yetu?
Kama unaungana namimi weka comment na like! Say no to new religions brought from afar by our colonisers!
KwakweliNilitegemea ungekuja na sababu za msingi kusapoti uzi wako. Umechanganya kati ya dini na tabia za watu/ watu.
Ni ukurasa gani ndani ya Biblia na Quran imesapoti mahusiano ya jinsia moja?
Tuachane pia na chochote cha kimagharibi kama technology nk? Dini ya kikristo haimwambii mtu awe shoga tena inapinga mambo hayo kabisa kwani hayajaanza leo.Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!