4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua
Wakuu andiko langu litakua fupi sana.
Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika ) ni uchaguzi kati wapenda nchi yao kwa maslahi mapana ya sasa na vizazi vyao vijavyo vs machawa au wafia matumbo yao kwa maslahi yao ya sasa na si kesho ya taifa hili , maana leo yao ni bora kuliko kesho ya taifa hili, why , kwa sababu wameisha fisadi vya kutosha na kamwe hawana njaa hawaijui njaa na hata familia zao hawategemei hili kwao litokee namanisha kulala njaa au kosa elfu moja mfukoni ,noti wanazo za kutosha.
Kwa mantiki tajwa hapo juu ,tuhakikishe tunajiandikisha anzia wewe mwenyewe kama ni baba, mama ,watoto wenu anzia miaka 18 , na wapewe elim ya kutosha kifamilia , maana huko mashuleni ccm ,imekua ikiwalaghai pitia order za wakuu wa mashule ambao watoto wetu wanasoma kwa maelekezo mahalum ,hili mnalijua
Chadema itaenda kuwaletea chuma, na Mungu ataenda inua hili taifa pitia chuma hicho, japo miaka mitano ya kwanza itakua ya shida kidogo maana ccm imeliaribu taifa hili pakubwa sana .
Baraka Bwana zikawe juu yenu , na imekua.