Ndugu zangu watanzania naandika thread hii Kwa uchungu Sana na Kwa nasikitika makubwa Ila Sito penda andika Kwa undani kutokana na unyeti wa hili Jambo na Kwa bahati mbaya uwenda Kwa uchungu serikali imeupata Jambo hili limekuwa Siri Sana hakuna chombo cha ndani kimetoa taarifa isipokuwa chombo kimoja cha ulaya kama sio viwili. Well
Wakati bendera za Taifa zikiwa zimeshushwa na bendera za majeshi yetu zikipepea watu wabaya na katili waliingia ndani ya Taifa letu. Nakatika hali yakuogofya Sana inasemekana walikaa na Sisi mithili ya panya ndani ya nyumba. Tetesi zinasema jamaa walikaa na Sisi Ila muda wa jion wakatimiza Jambo lao. Taarifa za Siri zinasema watu wetu walijuwa Ila hawakujuwa no muda gan na saw ngapi? Mbaya kuliko yote walitekeleza uwalifu wao karibia na tarehe za kumpokea namba moja wakijuwa vikos vyetu vitakuwa biz na maandaliz ya kumpokea namba moja. Ashukuriwe Mungu vikosi vya ndani vya ulinzi vilisha piga chini ratiba ya namba 1 kutembelea mji ule. Amini usiamini usiku wakuamkia siku anakuja jamaa wakijuwa mobilization itakuwa Mjini walifanya Yao na kuwatenda mambo mabaya Sana Raia na watu muhimu Sana Kwa Taifa.
Nashindwa kuandika maana sina mamlaka hayo Ila kama ingekuwa nchi za wenzetu yalio tukuta uwenda muda huu yangetokea Yale ya Marekani na Afghanistan.
Nimekaa nakutafakari nikasema niwaombe watanzania Wenzangu Tuliombee Taifa na tuviombee vikosi vyetu vya ulinzi na usalama.
Wametutenda mambo mabaya Sana wametufanyia dhihaka kubwa nakutuvuwa nguo zetu nakutuacha uchi. Watu hawa sio watu wazuri na adhabu Yao yapaswa Kuwa Kali ili dunia ijuwe Tanzania sio Taifa lakawaida.
Pray for Tanzania maana mambo mabaya yametupata. Amen