Watanzania wenzangu unganeni na mimi kuipongeza CCM kufanyia kikao cha kamati kuu ndani ya Ikulu mpya Chamwino.

Watanzania wenzangu unganeni na mimi kuipongeza CCM kufanyia kikao cha kamati kuu ndani ya Ikulu mpya Chamwino.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hakuna ubishi wametumia vyema kodi za watanzania kujenga jengo hili. Hakuna ubishi

20230521_212501.jpg
 
Hakuna ubishi wametumia vyema kodi za watanzania kujenga jengo hili. Hakuna ubishi

View attachment 2630570
Majengo rasmi ya chama yapo, lakini wao kazi ni kung'ang'ania mali za umma tu. Ili kulinda ndumba zinazohamishiwa hapo ni lazima tutaanza kusikia mfululizo wa vifo na kuanza kukatwa kwa viungo vya ndugu zetu wenye ualbino.
 
Huyo wa mwisho kulia sio Lipumba kweli?
 
CCM ni Chama Tawala na wanakutana kujadili utendaji kazi wa Serikali shida iko wapi?

mbona Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni alikuwa akitumia Gari ya KUB na ofisi yake ya ndani ya Nunge hata kwny shughuli za Chama?

Makamu wa kwanza wa Rais wa Znz kutokea ACT akienda kwny shughuli za Chama chake hutumia magari na misafara ya Serikali au ya chama?
 
Back
Top Bottom