CCM ni Chama Tawala na wanakutana kujadili utendaji kazi wa Serikali shida iko wapi?
mbona Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni alikuwa akitumia Gari ya KUB na ofisi yake ya ndani ya Nunge hata kwny shughuli za Chama?
Makamu wa kwanza wa Rais wa Znz kutokea ACT akienda kwny shughuli za Chama chake hutumia magari na misafara ya Serikali au ya chama?