DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,382 Reaction score 29,639 Jul 27, 2019 #61 Saint Ivuga said: Wengi wao ni graduate wa udsm. ILa unaweza kuniambia kwa diamond karanga zimeishia wapi? Click to expand... Karanga zimeisha store
Saint Ivuga said: Wengi wao ni graduate wa udsm. ILa unaweza kuniambia kwa diamond karanga zimeishia wapi? Click to expand... Karanga zimeisha store
Ifururu JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 562 Reaction score 658 Jul 27, 2019 #62 msindikizaji said: Hawa hawana mshahara, atakua wanalipwa kutokana na ulizouza. Lazma uchakarike. Ni system nzuri ya na asiyefanya kazi na asile Click to expand... Kila icecrm moja wanapata mia 200, so unavouza ndo unavopata pesa.
msindikizaji said: Hawa hawana mshahara, atakua wanalipwa kutokana na ulizouza. Lazma uchakarike. Ni system nzuri ya na asiyefanya kazi na asile Click to expand... Kila icecrm moja wanapata mia 200, so unavouza ndo unavopata pesa.
Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,828 Jul 29, 2019 #63 Ifururu said: Kila icecrm moja wanapata mia 200. So unavouza ndo unavopata pesa. Click to expand... Zikibaki inakuwaje?
Ifururu said: Kila icecrm moja wanapata mia 200. So unavouza ndo unavopata pesa. Click to expand... Zikibaki inakuwaje?