M Mfiaukweli JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 5,636 Reaction score 8,777 Nov 18, 2018 #1 ...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu. Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu. Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.