Mtia nia mmoja baada ya kushindwa kupita kataika kura za maoni ya kugombea ubunge,alisikika akilalamika kwa kusema. ''Wale sio wajumbe wale ni WATANZA NIA.Yaani pamoja na kuniahidi kwamba watanipa kura za kutosha ili niteuliwe kuwa mgombea,nia yangu wameitanza na kupoteza matumani ya kuwa mbunge''.